ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, November 22, 2017

NAIBU WAZIRI MASAUNI, KAMISHNA JENERALI WAKAGUA MPAKA WA TANZANIA KENYA ULIOPO WILAYANI TARIME

  Naibu  Waziri   Wizara   ya   Mambo   ya   Ndani   ya   Nchi,   Mhandisi   Hamad   Masauni,   Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dk, Anna Makakala, Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima (katikati)  wakiangalia jiwe la mpaka unaotenganisha  nchi ya Tanzania na Kenya uliopo katika kijiji cha  Nyamhunda, wilayani Tarime ambapo upande wa pili ni Kaunti ya Migori nchini Kenya. Naibu Waziri yupo katika ziara ya kikazi ikiwa na lengo la kukagua mipaka na kudhibiti uingiaji wa wahamiaji haramu kupitia vipenyo katika mipaka hiyo.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
  Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza
    wakati wa ziara ya kutembelea alama ya Mpaka unaotenganisha nchi za Tanzania na Kenya uliopo  katika  kijiji  cha Nyamhunda wilayani Tarime.Wengine ni Kamishna Jenerali   wa

  Uhamiaji, Dk, Anna Makakala, Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima (katikati) na Mkuu wa
    Wilaya ya Tarime Glorius Luoga. Naibu Waziri yupo katika ziara ya kikazi ikiwa na lengo la
    kukagua   mipaka   na   kudhibiti   uingiaji   wa   wahamiaji haramu kupitia  vipenyo  katika  mipaka hiyo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
 


    Mkuu   wa  Wilaya  ya   Tarime,   Glorius   Luoga,   akitoa   maelezo   kwa  Naibu  Waziri  Wizara  ya Mambo ya Ndani ya Nchi,  Mhandisi Hamad Masauni, Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dk, Anna Makakala, Mkuu wa  Mkoa   wa Mara, Adam   Malima(katikati),  walipotembelea jiwe la  mpaka unaotenganisha nchi za Tanzania na Kenya uliopo katika kijiji cha Nyamhunda wilayani Tarime. Naibu Waziri yupo katika ziara ya kikazi ikiwa na lengo la kukagua mipaka na kudhibiti  uingiaji wa wahamiaji haramu kupitia vipenyo katika mipaka hiyo.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

    Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dk, Anna Makakala(watatu kulia),akizungmza na Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, wakati wakielekea kukagua mpaka wa Tanzania  na Kenya uliopo katika  kijiji cha  Nyamhunda,Wilayani Tarime. Kulia ni  Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima. Naibu Waziri yupo katika ziara ya kikazi ikiwa na  lengo la  kukagua mipaka  na kudhibiti uingiaji wa  wahamiaji haramu kupitia  vipenyo katika mipaka hiyo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi    IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI-WIZARA YA  MAMBO YA NDANI YA NCHI

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.