MSAFARA
madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza pamoja na waandishi wa habari kadhaa wamenusurika kufanywa kitu mbaya baada ya kuvamiwa na kushambuliwa na kundi la wananchi waliokuwa
na mapanga na mawe katika Kata ya Mahina Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza.
Madiwani hao
16 waliokuwa katika ziara ya kikazi ya siku moja kukagua miradi ya maendeleo ikiwemo dampo la kisasa
lilijengwa Buhongwa, mradi wa maji wa
Fumagila na Hospitali ya Wilaya ya Nyamagana, ambapo walipofika kata ya Kishiri
vijana waliokuwa na mawe na mapanga wakashambulia gari hilo.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.