Vijana wengi wanatumia muda mwingi kukaa vijiweni kupiga stori za kuunga unga na kusahau majukumu yao ya msingi hali inayowarudisha nyuma katika maandeleo yao na nchi kwa ujumla.
Lakini kama wakizichangamkia fursa zilizopo ikiwa ni pamoja na mafunzo ya ufundi yanayotolewa kila kukicha na taasisi mbalimbali za serikali na za mashirika binafsi, kuna mapinduzi makubwa yanakuja katika sekta hususani ya viwanda.
Shuhudia kile kilichofanyika hivi karibuni chuo cha DIT (Dar es salaam Institute of Technology) tawi la Mwanza.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.