Baada ya kuhojiwa kwa siku mbili mfululizo katika kituo cha polisi
Morogoro Mbunge wa Tarime vijijini kupitia Chadema John Heche Novemba 21
ameachiwa kwa dhamana hadi desemba 4 atakapotakiwa kuripoti.
Maji bwawa la Mindu ni Salama - Bonde la wami Ruvu
-
Na Farida Mangube Morogoro
Bodi ya Maji ya Bonde la Wami-Ruvu imewatoa hofu wakazi wa Manispaa ya
Morogoro kuwa maji ya Bwawa la Mindu ni salama, kwani ke...
0 comments:
Post a Comment