ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, October 12, 2017

MASAUNI ALITAKA JESHI LA ZIMAMOTO KUFUNGUA VITUO WILAYA ZOTE NCHINI.

    Naibu   Waziri   wa   Mambo   ya   Ndani   ya   Nchi,   Mhandisi   Hamad   Masauni   akizungumza   na  Makamishna na Wakuu wa Vitengo vya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wakati alipofanya ziara Makao Makuu ya Jeshi hilo, jijini Dar es Salaam leo. Katika hotuba yake Masauni alilitaka Jeshi hilo kutoa elimu zaidi kwa umma pamoja na kuongeza kasi ya ufunguaji wa vituo vya zimamoto katika   wilaya   zote   nchini.   Kushoto   ni   Kamishna   Jenerali   wa   Jeshi   hilo,   (CGF),   Thobias Andengenye, na kulia ni Kamishna wa Utawala na Fedha wa Jeshi hilo, Michael Shija. Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.
     Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, (CGF), Thobias Andengenye akitoa taarifa yake utendaji kazi wa Jeshi lake kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (katikati meza kuu), wakati kiongozi huyo alipofanya ziara ya kikazi Makao.

    Naibu Waziri   wa Mambo ya  Ndani ya  Nchi, Mhandisi  Hamad Masauni (kulia) akimsikiliza Mchumi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Boniface Mkumbo alipokua anafafanua mipango mbalimbali ya kuliendeleza jeshi hilo. Kulia kwa Naibu Waziri ni Kamishna Jenerali wa Jeshi hilo, (CGF), Thobias Andengenye. Katika hotuba yake kwa viongozi wa Jeshi hilo, Masauni alilitaka Jeshi hilo kutoa elimu zaidi kwa umma pamoja na kuongeza kasi ya ufunguaji wa vituo  vya zimamoto katika wilaya zote nchini. Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
  
    Naibu   Waziri   wa   Mambo   ya   Ndani   ya   Nchi,   Mhandisi   Hamad   Masauni   akizungumza na Makamishna na Wakuu wa Vitengo vya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wakati alipofanya ziara.  Makao Makuu ya Jeshi hilo, jijini Dar es Salaam leo. Katika hotuba yake Masauni alilitaka Jeshi hilo kutoa elimu zaidi kwa umma pamoja na kuongeza kasi ya ufunguaji wa vituo vya zimamoto katika wilaya zote nchini. Kulia kwa Naibu Waziri ni Kamishna Jenerali wa Jeshi hilo, (CGF), Thobias Andengenye. Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto) akimsalimia Kamishna   Jenerali  wa Jeshi  la  Zimamoto   na   Uokoaji,   (CGF),   Thobias  Andengenye,   wakati kiongozi huyo alipofanya ziara ya kikazi Makao Makuu ya Jeshi hilo, jijini Dar es Salaam leo.
    Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.
    IMEANDALIWA NA KITENGO CHA HABARI NA ELIMU KWA UMMA-MAKAO MAKUU YA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI

Makuu ya Jeshi hilo, jijini Dar es Salaam leo. Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.