ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, September 28, 2017

HOSPITAL YA BUGANDO NA MPANGO WAKE WA SIKU 3 KUHUDUMIA WENYE MATATIZO YA MOYO KWA HISANI YA KAZI NA NGOMA.


Hospitali ya Bugando kwa kushirikiana na wadau wao katika habari Kipindi cha KAZI NA NGOMA toka Jembe Fm wanaendesha zoezi la Huduma ya upimaji moyo na uchunguzi wa masuala ya moyo.

Shughuli inafanyika katika mahema ya madaktari mabingwa wa moyo kwenye viwanja vya Hospitali ya Rufaa ya Bugando jijini Mwanza.

Kutana na Dr. Glory ambaye ni Daktari Bingwa wa Mabigwa wa magonjwa ya Moyo toka Hospitali ya Rufaa ya Bugando na hapa akifafanua baadhi ya masuala na kuwakaribisha Wananchi kwaajili ya uchunguzi hakuna tozo lolote.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.