Houston, Texas
Kutoka mji wa nne kwa ukubwa nchini Marekani, mji wa Houston, ambao safari hii umepokea mvua kubwa kiasi cha 31.26 inches za mvua, hiki ni kiwango kikubwa kilicho sababisha maji kufura na kujaa kuzifunika njia zote za usafiri, usafirishaji na uchumi zikiwemo barabara, barabara za vituo vya ndege, nyumba na makazi ya watu na hata vyombo mbalimbali vya usafiri zikiwemo mali kusombwa na kutupwa kusikojulikana.
Takwimu za haraka zinawataja watu watatu kufariki dunia akiwemo afisa wa polisi aliyefariki huko mjini Houston.
Kwa mji wa Harvey mafuriko yanatajwa kusababisha vifo takribani watu 19, nao watu 13,000 wakiokolewa nao wakiwaacha wengine maelfu wakikosa makazi. Zaidi ya watu 10,000 wanaishi kwenye makambi ya hifadhi mjini Houston's George R. Brown Convention Center -- over double its capacity.

ZIFUATAZO NI TASWIRA KWA BAADHI YA MAENEO.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.