Maadhimisho ya wiki ya
Elimu yamefanika katika halmashauri ya wilaya ya sengerema ikiwa na
kauli mbiu ya (UWAJIBIKAJI KWA ELIMU BORA NA JUMUISHA )
Maadhimisho hayo yamefanyika katika viwanja vya Nyatukala
Jeshini ikiwa na lengo la kuhamasisha wananchi katika maendeleo ya elimu .
Akizungumza na waadishi wa habari mratibu wa elimu kata ya
Nyatukala mwalimu Jesca Manyanga amesema
wananchi wanatakiwa kushiriki katika swala la maendeleo ya elimu ikiwemo ujenzi
wa vyumba vya madarasa na kuacha kuitegemea Serikali.
Kwaupande wa waalimu wamesema mzazi anatakiwa kutoa
ushirikiano kwa kufatilia maendeleo ya mwanafunzi. Nao wanafunzi wamesema mzazi anatakiwa
kumpeleka mtoto shule ili kumpa msingi bora kwa maisha ya baadae. BOFYA PLAY KUSIKILIZA.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.