Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB PLC, Dk. Charles Kimei akizungumza
wakati wa ufunguzi wa semina ya Wanahisa wa Benki hiyo, iliyofanyika leo
kwenye katika Ukumbi wa Simba uliopo ndani ya Kituo cha Mikutano cha
Kimataifa cha AICC, Jijini Arusha.Semina hiyo, itafuatiwa na Mkutano
Mkuu wa 22 wa Wanahisa wa Benki hiyo, utakaofanyika kesho Mei 20, 2017.
Mwenyekiti wa semina ya Wanahisa wa Benki ya CRDB, Mwasajuni akiongoza semina hiyo
Meja kuu ikifatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa kwa wanahisa.
Muwasilisha Mada ya iliyohusu Mambo yananoathiri Thamani na Bei za Hisa katika Soko, Laurian Malauri kutoka Orbit Securities akisisitiza jambo wakati akiwasilisha mada yake hiyo.
Katibu wa Benki ya CRDB, John Rugambwa akipitia moja ya vitabu vya mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa kwenye semina ya Wanahisa wa Benki hiyo, iliyofanyika leo
kwenye katika Ukumbi wa Simba uliopo ndani ya Kituo cha Mikutano cha
Kimataifa cha AICC, Jijini Arusha.
Mkurugenzi wa Masoko, Utafitii na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB PLC, Tully Mwambapa akifatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa kwenye semina ya Wanahisa wa Benki hiyo, iliyofanyika leo
kwenye katika Ukumbi wa Simba uliopo ndani ya Kituo cha Mikutano cha
Kimataifa cha AICC, Jijini Arusha.
Naibu Wakurugenzi Watendaji wa Benki ya CRDB PLC, Saugata Bandyopadhyay (kulia) na Esther Kitoka wakiteta jambo, wakati wa ufunguzi wa semina ya Wanahisa wa Benki hiyo, iliyofanyika leo
kwenye katika Ukumbi wa Simba uliopo ndani ya Kituo cha Mikutano cha
Kimataifa cha AICC, Jijini Arusha.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.