TAREHE 10.05.2017
NA ZEPHANIA MANDIA / GSENGO BLOG.SIKU chache baada ya ya kutokea kwa tukio la ajali mkoani Arusha na kusababisha vifo vya watu 32 , Polisi mkoani Mwanza wameanzisha zoezi la ukaguzi wa magari ya shule.
Zoezi hilo limefanyika jana tarehe 10 Mwezi May 2017 katika viwanja vya polisi Mabatini na zaidi yamagari 30 yanayobeba wanafunzi wa shule za msingi na sekondari jijini Mwanza kukaguliwa.
Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza Ahmed Msangi ameagiza kila gari la shule linabeba wanafunzi likaguliwe.
Mkuu wa Kikosi cha Usalama barabarani Robert Husein BOFYA PLAY KUMSIKILIZA
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.