Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Lema akishuka kwenye gari kuingia mahakamani.
Viongozi mbalimbali wa Chadema wakiongozwa Katibu Mkuu wa Chadema Dr
Vicent Mashinji, Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema
Edward Lowasa, Waziri Mkuu Msaatafu Sumaye na Meya wa Jiji la Arusha
Mjini Kalisti Lazaro wakiwa mahakamani kusikiliza uamuzi wa Mahakama
kuhusu dhamana ya Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema unaotolewa leo.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.