ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, March 6, 2017

KIPINDI MAALUM CHA RAIS DKT MAGUFULI KUZINDUA KIWANDA CHA VIGAE MKURANGA PWANI MARCH 2,2017


ALHAMISI wa tarehe 2 mwezi March 2017 Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli ameweka jiwe la msingi katika kiwanda cha kutengeneza vigae kilichopo wilayani Mkuranga mkoani Pwani.

Kiwanda hiki ni kikubwa Afrika Mashariki na Kati ambacho ujenzi wake umegharimu dola za Kimarekani miioni 50 kwa awamu ya kwanza.

Kitakuwa na uwezo wa kuzalisha mita za mraba 80,000 za vigae kwa siku.
Kitazalisha ajira za moja kwa oja zaidi ya ajira 1,000 na ajira zisizo za moja kwa moja zaidi ya 2,000
Jengo lake ni la kisasa na linaukubwa wa zaidi ya kilometa moja.

ZAIDI FUATILIA KUPITIA VIDEO HAPO JUU.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.