ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, March 3, 2017

HATIMAYE LEMA AACHIWA KWA DHAMANA.

Baadhi ya Wanachama wa CHADEMA wakishangilia
MBUNGE Wa Arusha mjini (CHADEMA) Godbless Lema ameachiwa kwa dhamana leo katika Mahakama Kuu Kanda ya Arusha .

Lema ameachiwa kwa dhamana ikiwa ni takribani miezi minne tangu aswekwe rumande kwa kesi hya uchochezi.

Polisi wa kutuliza ghasia walijaa Mahakamani hapo wakiwatawanya wafuasi wa lema waliojaa kwenye Mahakama ya viwanjani hapo.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Edward Lowassa, Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe walikuwepo.a mahakamani hapo.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.