Watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wakiwa na silaha wamevamia kituo cha mazao na misitu cha maliasili kilichopo kijiji cha Jaribu mpakani mwa wilaya ya Mkuranga na Kibiti na kukichoma moto kisha kuwaua watu watatu akiwemo mpelelezi mkuu wa wilaya ya Kibiti mkoani pwani Afande Peter Kubezya. ITV TANZANIA
JAS yafanya kikao cha kufunga Mwaka 2025
-
Na Mwandishi Wetu Morogoro 27 Disemba, 2025.
Jumuiya ya Wanafunzi ya Jiba Active Students (JAS) imefanya kikao maalum
cha kufunga shughuli za Mwaka 2...
0 comments:
Post a Comment