Naibu waziri wa nishati na madni nchini amemuagiza kamishna wa madini nchini kumrudisha aliyekua afisa madini mkoa wa geita Fabian Mshai ili kujibu baadhi ya hoja za ukaguzi wa mgodi wa RZ.
Waziri mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa wakati sasa umefika wa kuwa na watumishi wenye weledi katika halmashauri zote nchini.
Kesi ya pembe za ndovu inayomkabili mwanamke mmoja raia wa China maarufu kama Malkia wa pembe za ndovu imearishwa hadi February 13 ambapo itasikilizwa kwa siku nzima.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.