Watu zaidi ya 700 wamepoteza makazi yao baada ya mvua kubwa iliyoambatana na upepo kubomoa makazi yao huko wilayani Ukerewe mkoani Mwanza.
Paa za makanisa na misikiti pia yameezuliwa nayo miti na mazao imesombwa na maji huku mifugo ikithiriwa yakiwemo makazi yao.
Wito umetolewa kwa watu binafsi, taasisi na mashirika mbalimbali kujitokeza na kutoa msaada kwa wahanga hao.

Comments
Post a Comment