Kilimo kinaajiri asilimia 80 ya wananchi nchini, huku ikiwa ni asilimia chini ya kumi hawaendeshi kilimo chao kwa kufuata kanuni bora na hivyo kupata mazao yasiyolingana na ukubwa wa shamba.
Mkulima wa mboga mboga na Nyanya Innocent Kipondya wa Mwalogwabagole wilaya ya Misungwi Mkoani Mwanza,anasema baada ya Airtel kumshika mkono kwa kumpa zana kilimo kumemfanya aongeze ukubwa wa shamba na kuajiri vijana wengine shambani kwake.
Innocent amesema fursa zinazotolewa na mtandao wa Airtel hazitolewi na mtandao mwingine nchini ,hivyo amaeiasa jamii kuchangamkia fursa hizo waweze kunufaika na hivyo kubadili maisha.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.