Golikipa wa Liverpool amefunguka kuwa timu yake haina hofu kwa mchezo ujao dhidi ya amahasimu wao katika Ligi kuu ya Uingereza .
___________________
Manchester United na Liverpool watakutana uso kwa uso Jumatatu. Wakati golikipa wa Liverpool Loris Karius akisema kuwa haofii chochote na anacho zingatia ni kuhakikisha kuwa anacheza vyema vile anavyopaswa.
__________________
Golikipa huyo raia wa Ujerumani ameiambia timu ya Wachambuzi wa Ligi ya Premium kuwa "Manchester United ni wazuri, wana timu imara lakini sisi tuna timu thabiti yenye nguvu na hasa ukizingatia tunachezea dimba la nyumbani"
____________________
Kisha akaongeza: "Tunawaheshimu lakini katu hawatupi hofu, tunachojua ni kushinda mchezo huo.
#WeAreLiverpool #lfctz #Liverpoolfc #Anfield #YNWA @lorisk21
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.