Mawakala toka viunga mbalimbali ndani ya jiji la Mwanza wamekusanyika hapa ndani ya ukumbi wa Gold Crest Hotel kwa nia ya kupata mafunzo. |
Somo limekolea na Airtel Money Timiza. |
Airtel Money Timiza ni mikopo nafuu isiyo na masharti magumu zaidi ya namba ya mteja ya mawasiliano na historia ya utumiaji wa huduma ya Airtel Money Timiza. |
Washiriki kwa umakini na semina ya Airtel Money Timiza. |
'MUDA NI MALI' = Jinsi Airtel Money Timiza inavyokomboa muda huku ikimkuza na kumnyanyua mwananchi toka lindi la umasikini. |
David Wankuru ambaye ni Meneja wa Airtel Mkoa wa Mwanza akifafanua kilichofanyika ndani ya semina kwa mawakala, masharti na masuala yote juu ya Airtel Money Timiza. |
Ni sifa zipi zitampa mteja fursa ya kuweza kukopeshwa na Airtel Money Timiza? Joel Laizer ambaye ni Meneja wa Mauzo Airtel Mwanza anafunguka zaidi. |
BOFYA PLAY KUSIKILIZA WALICHOSEMA.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.