Aliyewahi kuwa mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF Prof. Ibrahimu Haruna Lipumba atengua maamuzi yake ya kujiuzulu katika chama hicho na kuamua kurejea tena. Mwanasiasa huyo mkongwe na mtaalamu wa uchumi amesema ameandika barua kwenye uongozi wa chama hicho ili arejeshwe kwenye nafasi yake aliyojiuzulu miezi kumi iliyo pita.
0 comments:
Post a Comment