ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, April 22, 2016

YALIYOJIRI BUNGENI LEO. WAUZA MADAWA YA KULEVYA WAGUSWA.


Mhe.Halifa Mohamed mbunge wa Mtambwe aihoji serikali juu ya kutumia vyombo vyake kukamata watumiaji na wauzaji wa dawa za kulevya.


 Je ni lini sheria ndogo ndogo zitafanyiwa marekebisho ili kuondoa changamoto za ukusanyaji wa mapato katika halmashauri? 

Mhe.Aida Kenani aibana serikali juu ya hatua zilizochukuliwa kumaliza kero za madai ya walimu wa shule za sekondari na msingi; 


Mhe.Medad Kaliman akijibu swali la Mhe.Nzeja kuhusu idadi ya vijiji vilivyopo katika mpango wa 2 wa umeme REA halmashauri ya Mbeya ; 


Kwa nini wanafunzi wanaomaliza stashahada katika vyuo na kutaka kujiunga na elimu ya juu wasiruhusiwe kutumia Academic Transcript? 


 Je Watanzania waishio ughaibuni wanachangiaje pato la taifa? Naibu waziri Mhe.Dkt Suzan Kolimba anatoa ufafanuzi.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.