Spika wa Bunge Job Ndugai asema umoja wa mabunge wa jumuiya ya madola kwa nchi za Afrika umetoa nafasi kwa maspika na wabunge wa nchi wananchama kujifunza mbinu mbalimbali za kuongoza mabunge katika kudumisha demokrasia na usimamizi wa serikali.
Upandaji Holela wa Mafuta
Serikali yatakiwa kudhibiti upandaji holela wa bei ya mafuta kwani uanaathiri watu wa kipato cha chini.
JAS yafanya kikao cha kufunga Mwaka 2025
-
Na Mwandishi Wetu Morogoro 27 Disemba, 2025.
Jumuiya ya Wanafunzi ya Jiba Active Students (JAS) imefanya kikao maalum
cha kufunga shughuli za Mwaka 2...
0 comments:
Post a Comment