Rais Magufuli atangaza vita mpya kwa waliomilikishwa mashamba na viwanda
huku akidai hatamuonea mtu haya bila kujali chama chake.
Imeelezwa kwamba licha ya serikali kuendelea kutoa kipaumbele katika
sekta ya elimu bado sekta hiyo imeendelea kukumbwa na changamoto
mbalimbali ikiwemo uhaba wa miundombinu.
ENDORO WATER FALLS, MAAJABU MENGINE NGORONGORO
-
Mbaraka Mwinshehe aliwahi kuimba akiisifia Morogoro na jinsi maji
yanavyotiririka kutoka milimani.
Mwinshehe angekuwa hai pengine angefika maporomoko ...
0 comments:
Post a Comment