Mjumbe wa Serikali ya Mtaa, Mtaa wa Ananasifu, Deogratias Mogela akizungumza na waandishi wa Habari (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Moja ya banda lililochomwa moto na kudaiwa kuokolewa mtoto Braiton Emanueli (2) ambae mama yake Amina Selemani humuacha hapo na kwenda kufanya biasha ya kupika uji
Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Muongozo Darasa la 6 Faiza Abdallah (11) akizungumza na mama yake ambapo hapo awali walikuwa katika Bonde hilo na sasa amehifadhiwa kwa ndugu Gongolamboto
Baada ya Tingatinga kutinga eneo la Bonde la Mkwajuni, Mtoto Rozi akihamisha godoro
Wananchi wakibomoa wenyewe banda lao baada ya kuliona tingatinga kufika katika Bonde la Mkwajuni kwa lengo la kusawazisha eneo hilo
Mwananchi (kulia) anusurika kipigo toka kwa wananchi waliokuwa wakitoa vifaa vyao katika Bonde la Mkwajuni alipotaka kuchukuwa chuma cha Tanesco
Tingatinga likibomoa moja ya vibanda vilivyojengwa kujihifadhi kwa muda wakazi wa Bonde la Mkwajuni, Dar es Salaam ambao nyumba zao zilibomolewa hivi karibuni.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.