Sunday, December 06, 2015
HABARI
MBUNGE wa Rorya Lameck Airo amesikika kupitia Jembe Fm 93.7 Mwanza katika kipindi cha SATURDAY EXPRESS akijibu tuhuma zilizoelekezwa kwake kwamba ....Alinukuliwa na vyanzo vya habari ikiwemo mitandao mbalimbali ya kijamii kama Jamii Forum, Face Book, Twitter na hata BBC kupitia baadhi ya wachambuzi wa masuala ya siasa, katika moja ya mikutano yake ETI akisema kuwa "Kasi ya Rais wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli ni nguvu ya soda"?
Mbunge huyo amekanusha taarifa hizo na kuweka mambo hadharani BOFYA PLAY KUSIKILIZA.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.