Mambo Ya Samatta Uwanjani
Mambo ya Samatta sio ya kitoto licha ya mpira kuwa wa moto kwelikweli kwa timu zote mbili za Taifa stars na timu ya Algeria.Stars 1 Algeria 0 DakikaYa 43
Mgagaa na upwa hali wali mkavu bwana, baada ya dakika kadhaa za utulivu Tanzania inajipatia goli la kwanza kupitia mchezaji Mwinyi Haji katika dakika ya 43;Stars 2 Algeria 0
Mbwana Samatta wacha kabisa habari yake, hebu ona alivyokuwa akipiga mpira kwa kujiamini mwishoe aipatia Tanzania goli la 2;Stars, Algeria Watoka Draw
Na dakika 90 za kandanda zimefikia ukingoni huku timu zote zikiwa na mabao sare ya 2 kwa 2;Algeria 2 Stars 2
Huku ni kukosa bahati kwa mechi ya leo au? Angalia hali ilivyo dimbani kipindi cha kwanza. Hebu toa tathmini yako binafsi.Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.