Mawaziri wa zamani Bazir Mramba, na Yona wapunguziwa adhabu ya kifungo kutoka miaka mitatu hadi miwili baada ya kukata rufaa. Mawaziri hao walipatikana na hatia ya kutumia madaraka vibaya na kuisababishia serikali hasara ya shilingi bilioni 11.5.
JAS yafanya kikao cha kufunga Mwaka 2025
-
Na Mwandishi Wetu Morogoro 27 Disemba, 2025.
Jumuiya ya Wanafunzi ya Jiba Active Students (JAS) imefanya kikao maalum
cha kufunga shughuli za Mwaka 2025...
0 comments:
Post a Comment