ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, September 30, 2015

VIDEO YA UZINDUZI WA JEMBE FM 'JEMBEKA FESTIVAL MWANZA'

Kuna mengi yalitokea siku ya uzinduzi wa kituo chako cha redio nchini Jembe Fm ambapo kupitia tamasha lake kubwa la kwanza litakalo chukuwa kazi kila msimu ndani ya mwaka, Jembeka Festival ilikuwa ni sehemu ya uzinduzi wa kituo hicho cha Habari, Elimu na Burudani.

Pamoja na maandalizi kuelekea ukataji wa utepe kuashiria ufunguzi pamoja na burudani pia wananchi wa taifa la Tanzania pamoja na wageni wao waliojitokeza kwenye tamasha hilo walipata fursa kuushuhudia utamaduni mpya uliotambulishwa, ungana na Video hapo juu kushuhudia hatua kwa hatua kwa yale yaliyojiri tukioni. Oyomba YessssSSSSsssss!!!

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.