ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, September 28, 2015

MGOMBEA UBUNGE TEMEKE (CCM) MTEMVU AHAIDI NEEMA AKICHAGULIWA TENA

 Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Abbas Mtemvu akizungumza na wananchama na wafuasi wa Chama hicho  Dar es Salaam jana wakati wa mkutano wa Uzinduzi wa kampeni ya uchaguzi Kata 14 Temeke katika viwanja vya Shule ya Msingi Madenge sambamba na mashina 3 yalizinduliwa. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)
  Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Abbas Mtemvu (wa tatu kulia) na Mgombea nafasi ya Udiwani kupitia cha hicho Feisal (wa pili kulia) wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa Shina la wakereketwa no, 1. Tawi la Maghorofani na wakwanza kulia ni Mwenyekiti wa Jimbo hilo Amhad Mnamala.
   Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Abbas Mtemvu (wa kwanza kulia) na Mdombea nafasi ya Udiwani kupitia cha hicho Feisal (wa pili kulia) wakipandisha Bendera ya Chama hicho kuashiria uzinduzi wa Shina la wakereketwa no, 1. Tawi la Maghorofani
  Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Abbas Mtemvu akipokea Risala kutoka kwa Katibu wa Shina hilo Zuzana Manamba
 Shamra shamra za uzinduzi wa Kampeni kata ya 14 viwanja vya Shule ya Msingi Madenge Temeke

Mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba....
Salaamu za akinamama...
Msafara kuelekea kusanyikoni.
Pambe za kitaa.


Mshikaki....
'Yule pale.....'
Watu na watu wao...



Zungu akilitambulisha jembe la kata.
Wana CCM.
Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Abbas Mtemvu akizungumza na wananchama na wafuasi wa Chama hicho  Dar es Salaam jana wakati wa mkutano wa Uzinduzi wa kampeni ya uchaguzi Kata 14 Temeke katika viwanja vya Shule ya Msingi Madenge sambamba na mashina 3 yalizinduliwa.
Mbwembwe mara baada ya mkutano wa CCM Uzinduzi kampeni ya uchaguzi Kata 14 Temeke katika viwanja vya Shule ya Msingi Madenge sambamba na mashina 3 yalizinduliwa.
Mbwembe mtaani...

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.