Waremo wa kinywaji kipya cha Kill Twist wakishangilia boti ya kisasa iliyokuwa imebeba warembo wenzao na kinywaji hicho wakati wa uzinduzi huo uliofanyika katika Ufukwe wa Azura jijini Dar es Salaam. |
Waremo wa kinywaji kipya cha Kill Twist wakiwasili katika ufukwe wa Azura wakiwa na kinywaji hicho wakati wa uzinduzi huo jijini Dar es Salaam. |
Waremo wa kinywaji kipya cha Kill Twist wakiwasili katika ufukwe wa Azura wakiwa na kinywaji hicho wakati wa uzinduzi huo jijini Dar es Salaam. |
TBL YAZINDUA BIA
MPYA
Dar
es Salaam, Alhamisi 11 Juni 2015; Kampuni ya Bianchini (TBL) leo hii imezindua bia mpya ya
Kilimanjaro Twist (Kili Twist) yenye ladha ya machungwa. Hii ni mara ya kwanza
kwa bia ya aina hii yenye ladha ya matunda kuzinduliwa hapa nchini.
Akizungumza katika hafla ya
uzinduzi wa bia hiyo, Meneja wa bia ya Kilimanjaro Twist Edith Bebwa alisema,
“Leo hii TBL
imebadilisha mtazamo wa watu wanavyoifikiria bia kwa kuzindua kinywaji hiki.
Hii ni bia ya kwanza ya ladha ya matunda humu nchini na tunatarajia kuwafikia wateja wengine ambao wanataka kuhisika mawanakunywa bia lakini kupata ladha iliyo laini na tamu zaidi na ladha halisi ya machungwa”.
Bia
ya Kilimanjaro Twist ni bia yenye asili ya Kitanzania kwa 100% na ladha halisi ya machungwa,
ina kilevi cha asilimia 2 % tu.
Bia hiiinatengenezwahapanchinikwakutumiaviuongovyenyeuborananimwanafamiliawabiaya
Kilimanjaro Premium Lager ambayo ni kati ya bia bora zaidi nchini.
Biaya
Kilimanjaro Twist itauzwakwabeiya TZS 1,500/= na itapatikana katika baa
na hoteli zote kubwa za Dar es salaam. Kutoka na namtindowakimiminika cha biahii,
mnywajianaptakiburudisho cha hali ya juu na hivyo inawaruhusu wanywaji kuinywa hata mida ya chakula
cha mchana, wakati wa mapunziko nyumbani au ufukweni kitu ambacho bia za kawaida haziruhusu.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.