| Meneja Ukuzaji Biashara na Masoko wa kampuni ya Selcom, Juma Mgori katikati akitoa mahelezo ya mashine ya ukusanyaji wa kodi kwa njia za kielektronic wakati wa uzinduzi rasmi wautumiaji wa mashine hizo kwa mkoa wa Morogoro kulia ni Naibu Meya wa Manispaa ya Morogoro Mohamed Lukwele na Meneja miradi wa Selcom Gallus Runyeta |
0 comments:
Post a Comment