ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, February 23, 2015

AMIN SALMINI AAHIDI KUIBORESHA OFISI YA SERIKALI YA MTAA KATA YA TABATA, WAKIFANYA SHEREHE YA KUWASHUKURU WAPIGA KURA WAO

Mtoto wa Rais Mstaafu wa awamu ya tano Zanzibar, Amin Salmin, akimkabidhi Cheti, Mwenyekiti wa UWT ambaye pia ni Kaimu Katibu wa CCM wa Tabata Relini, Shahani Mtwawa, wakati wa Sherehe maalum iliyoandaliwa kwa ajili ya kuwashukuru Wapiga Kura wa CCM, waliofanikisha kuchaguliwa kwa Viongozi wa Serikali ya Mtaa huo wa Kata ya Tabata. Sherehe hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki katika Ofisi za Serikali ya Mtaa Kata ya Tabata, jijini Dar es Salaam. Katika hotuba yake mgeni rasmi huyo, aliahidi kuiboresha Ofisi hiyo ya Serikali ya Mtaa wa Tabata kwa kununua Fenicha za ofisi zisizopungua gharama ya Sh. M 1.5. Picha na Sufianimafoto.com
Mtoto wa Rais Mstaafu wa awamu ya tano Zanzibar, Amin Salmin, akimkabidhi Vifaa vya michezo (Jezi na Mpira)  Katibu Mwenezi wa Kata ya Tabata Relini, Ramadhan Mazongera,  wakati wa Sherehe maalum iliyoandaliwa kwa ajili ya kuwashukuru Wapiga Kura wa CCM, waliofanikisha kuchaguliwa kwa Viongozi wa Serikali ya Mtaa huo wa Kata ya Tabata. Sherehe hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki katika Ofisi za Serikali ya Mtaa Kata ya Tabata, jijini Dar es Salaam. Picha na Sufianimafoto.com
Mtoto wa Rais Mstaafu wa awamu ya tano Zanzibar, Amin Salmin, akimkabidhi Vifaa vya Michezo (Jezi na Mpira) Mwakilishi wa Tawi la CCM la Mti Mgandisho Tabata, Bakari Mpakala, wakati wa Sherehe maalum iliyoandaliwa kwa ajili ya kuwashukuru Wapiga Kura wa CCM, waliofanikisha kuchaguliwa kwa Viongozi wa Serikali ya Mtaa huo wa Kata ya Tabata. Sherehe hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki katika Ofisi za Serikali ya Mtaa Kata ya Tabata, jijini Dar es Salaam. Picha na Sufianimafoto.com
Mtoto wa Rais Mstaafu wa awamu ya tano Zanzibar, Amin Salmin, akikabidhi Meza na Viti, kwa  Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Tabata, Elisante Msangi (kulia)  wakati wa Sherehe maalum iliyoandaliwa kwa ajili ya kuwashukuru Wapiga Kura wa CCM, waliofanikisha kuchaguliwa kwa Viongozi wa Serikali ya Mtaa huo wa Kata ya Tabata. Sherehe hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki katika Ofisi za Serikali ya Mtaa Kata ya Tabata, jijini Dar es Salaam. Picha na Sufianimafoto.com
Mtoto wa Rais Mstaafu wa awamu ya tano Zanzibar, Amin Salmin, akikabidhi Meza na Viti, kwa  Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Tabata, Elisante Msangi (kulia)  wakati wa Sherehe maalum iliyoandaliwa kwa ajili ya kuwashukuru Wapiga Kura wa CCM, waliofanikisha kuchaguliwa kwa Viongozi wa Serikali ya Mtaa huo wa Kata ya Tabata. Sherehe hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki katika Ofisi za Serikali ya Mtaa Kata ya Tabata, jijini Dar es Salaam. Picha na Sufianimafoto.com
Mtoto wa Rais Mstaafu wa awamu ya tano Zanzibar, Amin Salmin, akimkabidhi Cheti, Katibu CCM Tawi la Tabata, Siza Mazongela,  wakati wa Sherehe maalum iliyoandaliwa kwa ajili ya kuwashukuru Wapiga Kura wa CCM, waliofanikisha kuchaguliwa kwa Viongozi wa Serikali ya Mtaa huo wa Kata ya Tabata. Sherehe hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki katika Ofisi za Serikali ya Mtaa Kata ya Tabata, jijini Dar es Salaam. Picha na Sufianimafoto.com
Mtoto wa Rais Mstaafu wa awamu ya tano Zanzibar, Amin Salmin, akimtunza mwimbaji wa kundi la Segere lililokuwa likitoa burudani, wakati wa Sherehe maalum iliyoandaliwa kwa ajili ya kuwashukuru Wapiga Kura wa CCM, waliofanikisha kuchaguliwa kwa Viongozi wa Serikali ya Mtaa huo wa Kata ya Tabata. Sherehe hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki katika Ofisi za Serikali ya Mtaa Kata ya Tabata, jijini Dar es Salaam. Picha na Sufianimafoto.com
Wasanii wa kundi la Segere wakiimba wakati wakitoa burudani katika Sherehe maalum iliyoandaliwa kwa ajili ya kuwashukuru Wapiga Kura wa CCM, waliofanikisha kuchaguliwa kwa Viongozi wa Serikali ya Mtaa huo wa Kata ya Tabata. Sherehe hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki katika Ofisi za Serikali ya Mtaa Kata ya Tabata, jijini Dar es Salaam. Picha na Sufianimafoto.com
Baadhi ya kinamama wa CCM wakiserebuka wakati wa sherehe hiyo.
Sehemu ya Kinamama waliojitokeza kwenye sherehe hiyo.
Mtoto wa Rais Mstaafu wa awamu ya tano Zanzibar, Amin Salmin, akisaini katika kitabu cha wageni, mara tu baada ya kuwasili kwenye ofisi hizo. Picha na Sufianimafoto.com 

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.