Mkurugenzi wa Kampuni ya Insurence Business ya Britam, Stephen Wandera akizungumza muda mfupi baada ya kampuni hiyo kuungana na kampuni ya Real Insurence Dar es Salaam juzi. |
Baadhi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya bima ya Real na Britam wakigongesha grasi baada ya kampuni mbili hizo kuunga pamaja katika hafla iliyofanyika Dar es Salaam juzi. Picha na Jumanne Juma |
PRESS RELEASE
KAMPUNI YA BRITAM
YAONGEZA UWEPO WAKE KATIKA SOKO LA AFRIKA MASHARIKI.
Dar
es Salaam…Kampuni ya Bima ya REAL Tanzania sasaimekuwa ni mojakatiya
makampunimakubwarasmichini ya Kampuni ya Britamambayoinatoahudumambalimbali za kifedha.
Hiiinafuatiakununuliwawa Kampuni hiyo ya Bima na Kampuni ya Britamkutoka Kenya.
Kufutiahatuahiyo Kampuni ya REAL itakuwa
na wigompana wa kutoahudumaza bimazikiwemobima za Afya na Bima za maishaambazotayarikampuni
ya Britamimekuwaikitoa kwa mudamrefukatikaukandahuu wa AfrikaMashariki.
Muunganohuuutaboreshahuduma za bimanchini Tanzania naAfrikaMasharikiambayo kwa
sasaBritaminanguvu ya kifedha, kiteknolojia na rasilimaliwatu.
Kufutiahatuahii,
Britamsasainaongozakwaukubwa wa kijografiakuliko Kampuni zoter za BimaAfrikaMashariki,
pia Kampuni hiyoinashikilianafasi ya pilikulingana na pato la ziada.
Mchakato wa ushirikiano na muungano wa
Kampuni hizombiliumekuwaukiendelea kwa miezi kadhaasasana kufuatiwa na kupatakibalikutoka
kwa mdhibiti wa Mamlaka ya Masoko na
Mitaji ya nchiniKenyana kutekelezwa na washirikikutokaBritam na REAL kwa
kusaidiwa na Kampuni ya Usimamizi wa Kimataifa ya Mckinsey na washauriwengine.
“Kutokananamuunganowa
Kampuni hizi mbili, uwepowetuumekuwa kwasehemukubwasana,” alisemaBwana Peter
Munga, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa REAL na Britam Tanzania.
Bwana Mungaaliendeleakusemakwambamuunganohuonimojakati
ya makampuni ya kutoahuduma za BimakatikaAfrikaMashariki, kwanisasa Kampuni
hizozinatoahudumakatikanchi 7 tofautiambazo ni; Kenya, Uganda, Tanzania,
Rwanda, Sudan Kusini, Malawi na Msumbiji.
Piaaliwahakikishiawamilikiwahisa,
wauzaji, watoahuduma za bima na wadauwenginekwambawotewenyemikataba na Kampuni
hizombilibadozitaendelakudumuhadimwishonimwamwaka na kila Kampuni itawajibika
kwa madeniyeyotewanaodaiwa kwa kipindikilichobaki.
Kuunganakwa Kampuni hizombili ni fursa kwa Britamkuongezauwepo
wake katikasoko la kitaifa na AfrikaMashariki na
piakuongozasokokatikabiasharazoteambazoinazifanya.
Muunganowa Kampuni hizombilipiaunaonekanakamahatua ya
kwanza ya kuimarishasekta ya Bima Tanzaniaambayoinaushindanimkubwa. Soko la
Bima Tanzania lina zaidi ya makampuni 29 yanayofanya kazi katikasokohilo.
MuunganohuuinaiwezeshaBritamkutekelezamkakati
wake we kupanuabiasharayake ya Bimanapiakutoahudumazinginembalimbalikatikamaeneomuhimu
ya kijografiakama Tanzania ambayoyameonyeshauwezomkubwawa
kukuwakiuchumibaraniAfrika.
Maelezo mafupikuhusu British-American
Investments Company (Kenya) Limited
Britamnikampunitanzuinayoongozakatikahudumatofauti
za kifedha na iliyokatikasoko la hisa la Nairobi Securities Exchange.
Makampuniyaliyochini ya Britamyanamaslahi na
vitegauchumikatikamakampunimbalimbalindani ya AfrikaMashariki.
Britaminatoahudumambalimbali
za kifedha, za Bima,Bishara za Vitegauchumi,Ununuaji na uuzaji wa Nyumba,
Utunzaji wa vitegauchumivyaBiashara na huduma za Benki.
Britaminazohudumatofautikama
vile Bima za maisha,Bima za Afya na huduma za bima za mudamrefu na mfupi,
huduma za pensheni, Uwekeji wa Hisa, Mifuko ya Hisa,Mipango na Uwekezaji, Uwekezji
wa nje na Ndani na huduma za Pensheni ya uzeeni.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.