ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, September 4, 2014

BALOZI WA KENYA NCHINI TANZANIA ASEMA AFRIKA MASHARIKI ISITEGEMEE MASOKO YA NJE TU YASIYO NA UHAKIKA BALI PIA YAWEZA KUJIKOMBOA KWA KUIMARISHA MASOKO YAKE YA NDANI.

BALOZI wa Kenya Tanzania, George Owour (kushoto) akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Maonesho ya 9 ya Biashara ya Afrika Mashariki katika uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza kulia ni Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyabiashara wa Viwanda na Kilimo Mkoa wa Mwanza,Eibariki Mmari, akitoa usaidizi katika tukio hilo.
"TCCIA imepania kuona Afrika inakuwa na Ushirikiano wa Kibiashara  wa soko la Afrika bila kuanzia nyumbani, nyumbani ni kupitia maonesho haya ya Biashara ya Afrika Mashariki, Ndiyo maana maonesho haya ya Mwanza tumeyapa kipaumbele" Alisema Rais wa TCCIA Injinia Peter Chisawillo.
Zawadi za vikombe kwa washindi watakao ibuka hii leo katika Maonesho ya 9 ya Biashara ya Afrika Mashariki.
Safu ya meza kuu ikiwa kwenye mstaari kwaajili ya kutoa tuzo kwa washindi wa Maonesho ya 9 ya Biashara ya Afrika Mashariki yanayoendelea katika uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza.
















Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.