ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, September 7, 2014

MABIBO WINES, BEER & SPIRITS LTD WAPATA CHAKULA CHA PAMOJA NA WADAU WA MWANZA.

Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea, James Rugemalira akizungumza katika usiku maalum wa Mabibo Wines, Beer & Spirits LTD ulioandaliwa kwa lengo la kuwapa fursa baadhi ya wadau wa jiji la Mwanza kuzungumzia bidhaa muhimu za Mabibo, ubora wake, upatikanaji wake na fursa zitokanazo na mauzo ya bidhaa hizo, pia kupata maoni kutoka kwao kuhusiana na bidhaa hizo. Hapa alikazia zaidi katika suala la bei halali isiyoumiza wateja, bia zinazoingizwa nchini kwamagendo pamoja na suala zima la promosheni. BOFYA PLAY KUMSIKILIZA

Daktari wa Kitengo cha Magonjwa ya Saratani wa hospitali ya Bugando Mwanza Dk.Beda Likonda akizungumza katika usiku maalum wa Mabibo Wines, Beer & Spirits LTD ulioandaliwa kwa lengo la kuwapa fursa baadhi ya wadau wa jiji la Mwanza kuzungumzia bidhaa muhimu za Mabibo, ubora wake, upatikanaji wake na fursa zitokanazo na mauzo ya bidhaa hizo, pia kupata maoni kutoka kwao kuhusiana na bidhaa hizo.
Wadau katika meza zao wakisikiliza na kujadili masuala mbalimbali katika usiku maalum wa Mabibo Wines, Beer & Spirits LTD ulioandaliwa kwa lengo la kuwapa fursa baadhi ya wadau wa jiji la Mwanza kuzungumzia bidhaa muhimu za Mabibo, ubora wake, upatikanaji wake na fursa zitokanazo na mauzo ya bidhaa hizo, pia kupata maoni kutoka kwao kuhusiana na bidhaa hizo.
Daktari wa Kitengo cha Magonjwa ya Saratani wa hospitali ya Bugando Mwanza Dk.Beda Likonda akizungumza katika usiku maalum wa Mabibo Wines, Beer & Spirits LTD ulioandaliwa kwa lengo la kuwapa fursa baadhi ya wadau wa jiji la Mwanza kuzungumzia bidhaa muhimu za Mabibo, ubora wake, upatikanaji wake na fursa zitokanazo na mauzo ya bidhaa hizo, pia kupata maoni kutoka kwao kuhusiana na bidhaa hizo.
Watu mbalimbali maarufu wamealikwa hapa akiwemo Daktari bingwa wa ugonjwa ya saratani ya matiti kutoka Bangarole India, Profesa Anthony Pais, ambapo hapa alitumia usiku huo kujitambulisha.
Daktari huyo bingwa yupo nchini kutembelea hospitali kadhaa kujionea ukubwa wa tatizo linalosababishwa na ugonjwa huo wa saratani hapa nchini na kuona uwezekano wa kujenga kituo cha uchunguzi wa ugonjwa huo.

Ziara hiyo inadhaminiwa na kampuni ya Mabibo Beer Wine and Spirits Limited, yenye haki pekee ya kusambaza vinywaji cha Windhoek Larger , Windhoek Draught na kinywaji kisicho na kilevi cha Climax hapa nchini.

Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea wa kampuni hiyo James Rugemalira alieleza kuwa kampuni yake ilishitushwa na kuenea kwa ugonjwa huo kwa kasi hapa nchini ambapo kila siku watu wanapoteza maisha kutokana na ugonjwa huo.

Hivyo alisema kuwa kampuni yake iliona umuhimu wa kufanya kila linalo wezekana kutafuta njia za kukabiliana na ugonjwa huo bila kuchelewa.
Taarifa mbalimbali za tukio zikitupiwa mitandaoni na wadau sekta ya upashaji habari.
Usiku maalum wa Mabibo Wines, Beer & Spirits LTD na watu wake.
Usiku maalum wa Mabibo Wines, Beer & Spirits LTD na watu wake pia umewakutanisha watu hawa kutoka kushoto ni Mtangazaji wa Metro Fm Smith Swai, Peter Fabian wa gazeti la Mtanzania, Philbert Kabago toka Passion Fm na Abdalah Tilata toka Star Tv.
Kinywaji maalum kilicho tukutanisha katika usiku maalum wa Mabibo Wines, Beer & Spirits LTD na watu wake mkoani Mwanza, ili kupata mlo wa jioni katika ukumbi wa Villa Park Resort.

"Ninyi wenyewe amkinywa leo, ingawa wengi wenu ni mara ya kwanza naamini kesho mtakuja na ushuhuda kwamba Windhock ni bia isiyo sababisha mtu kushindwa kufanya majukumu ya siku mpya kutokana na mtu eti kukabiliwa na hangover, bia hii haina hangover kwani ni bia iliyopikwa ikaiva kikamilifu" alisema Bwana 
James Rugemalira
Deep katika mazungumzo ni  kushoto ni Leonard Nzali wa Star Tv na Blogger Gsengo.
Japo katika engo moja ni jiografia ya eneo la tukio katika usiku maalum wa Mabibo Wines, Beer & Spirits LTD na watu wake jijini Mwanza.
Selfie...

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.