TOLEO LA LEO
WASHINDI WA SAMSUNG E-WARRANTY
WAZAWADIWA
Dar es Salaam, Jumatano, Julai 23 2014; Kampuni ya Samsung Tanzania
kitengo cha elektroniki leo hii
imewakabidhi washindi wa Mai katika droo ya E-Warranty. Makabidhiano haya
yalifanyika katika duka kuu la Samsung Quality Centre, barabara ya Pugu.
“Mfumo huu wa E-Warranty umekuwa na mafanikio
sana humu Tanzania Mfumo huo wa e-warranty unawasaidia wateja kujua kama simu
ya Samsung wanayotaka kununua inadhamana ya miezi 24, kama simu imeibiwa
au inatafutwa na kama simu ni mpya au imeshatumika’, alisema Mwakilishi wa
Samsung Bwana Ibrahim Kombo.
Zawadi za kushindania ni: Televisheni 1
aina ya LED ya inchi 32, Galaxy Tab 1, Kamera 3, home theatre 1, Microwave 3 na
simu 1 aina ya Galaxy Grand.
Kujua kama simu ni halali, mteja anatakiwa
kufuta maelekezo yafuatayo: Tuma ujumbe na neno ‘Check’ ikifuatiwa na
alama ya nyota (*) kisha namba ya IMEI, ikifuatiwa na alama ya
reli (#) na kutuma kwa namba ‘15685’. Ujumbe unatumwa moja kwa moja
kuelezea hadhi ya simu hiyo ya Samsung.
-MWISHO-
Kwa maelezo zaidi wasiliana na;
Sylvester Manyara, Meneja wa Mauzo na Usambazaji,
Mobile; +255 683 984 215,
Kuhusu Samsung;
Samsung inafahamika Dunia nzima kwa teknolojia
ya kisasa, inatengeneza bidhaa bora kabisa kwa kuzingatia mazingira halisi ya
Afrika. Samsung ina idara tatu ambazo ni Samsung
Mobile inayohusika na simu za mkononi za Samsung za aina zote. Samsung Electronics inayohusika na
vifaa vya Samsung majumbani kama Viyoyozi, majokofu, mashine za kufulia etc. Na
mwisho kabisa Samsung IT inayohusika
na laptop, mashine za nukushi (photocopy), na kamera. Kwa maelezo zaidi
tembelea www.samsung.com
WASHINDI WA DROO
YA SAMSUNG E-WARRANTY MAI 2014
NO
|
JINA
|
MKOA
|
ZAWADI
|
1
|
MKWAYA
MADUHU
|
DAR ES
SALAAM
|
LED TV
32'
|
2
|
SALIM
KHERI
|
DAR ES
SALAAM
|
TABLET
|
3
|
MBONI
KASSIM
|
DAR ES
SALAAM
|
MICROWAVE
|
4
|
VICKY
LUKINDO
|
DAR ES
SALAAM
|
HOME
THEATRE
|
5
|
KIBWANA
KITOGO
|
DAR ES
SALAAM
|
CAMERA
|
6
|
NURUDIN
NURUDIN
|
ARUSHA
|
HOME
THEATRE
|
7
|
HALIMA
AYOUB
|
MWANZA
|
CAMERA
|
8
|
TWACHA
MOKINA
|
MOSHI
|
MICROWAVE
|
9
|
MAINDA
CHRISTOPHER
|
MBEYA
|
CAMERA
|
10
|
HENRY
JOSEPH
|
DODOMA
|
MICROWAVE
|
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.