WageniwaalikwawakipataFutariiliyoandakliwaResolution
Insurance iliyofanyikakatikaHoteliya Serena jijini Dar es Salaam mwishonimwa
wiki.
|
Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya futari iliyoandaliwa na Resolution
Insurance iliyofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam mwishoni mwa
wiki.
|
Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya futari iliyoandaliwa na Resolution
Insurance iliyofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam mwishoni mwa
wiki.
|
TAARIFA KWA VYOMBO VYA
HABARI
Dar es Salaam, Jumatano 23 Julai 2014: Kampuni ya Bima ya Resolution leo hii imeaanda
hafla ya kufuturisha wateja wake katika hoteli ya Serena, jijini Dar es Salaam.
Hafla ilihudhuriwa na Sheikh Msaidizi wa Dar es Salaam, Sheikh Athuman
Makumbaku.
Akizungumza na
waandishi wa habari wakati wa hafla hiyo, Meneja Mkuu wa Resolution Insurance
nchini Tanzania, Bwana Oscar Osir alisema, "Tunawashukuru sana kwamba
mmehudhuria hafla hii na tunawapongeza kwa uvumilivu wenu katika mwezi huu mkuu
wa Ramadhan.”.
Naye Sheikh
Makumbaku alsiema, "Kwa niaba ya ndgug zangu Waislamu ningependa
kuwashukuru Resolution Insurance kwa kutukumbuka wakati wa Mwezi huu Mtukufu wa
Ramadhan. Pia ningependa kuwahimiza Waislamu wenzangu kutia maanani amri wakati
wa Mwezi Mtukufu. Tuonesha upendo na uvumilivu kwa wote, kusameheana na
kuwasaidia wale ambao hawana uwezo wa kujisaidia”.
Bwana Osir alimaliza
kwa kusema, "Tunashukuru sana kwa ushirikiani wenu kwani ndiyo inatupa
motisha ya kuendelea kuwapa huduma bora zaidi. Katika shughuli za kuwapa Huduma
zilizo bora zaidi na zinazoweza kuwahudumia ukiwa hapa nchini na hata sehemu
yeyote duniani. Ningependa pia kuwahakikishia kuwa tutaendelea kuwapa bidhaa
bora na kuwasikiliza ili tutimize mahitaji yenu".
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.