| Kuwasili kwa bwana harusi katika viwanja vya kanisa la Kilinga maarufu kama kwa mchungaji Babu, Meru mkoani Arusha. |
| Wageni mbalimbali waliwasili kwenye tukio akiwemo Naibu Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndungai (katikati). |
| Wenyeji harusini akiwemo Baba mzazi wa Joshua Mzee Samweli Nassari walikuwa katika mavazi nadhifu kwaajili ya kuwalaki wageni waliohudhuria hafla hiyo. |
| Hatimaye bwana harusi alikuwa tayari kanisani akiwa na wapambe wake na hapa akimngojea bi harusi. |
| Bwana akimvalisha Bibi harusi pete ya ndoa. |
| Bibi akimvalisha Bwana harusi pete ya ndoa. |
| Si wawili tena bali ni mwili mmoja. |
| Ibada maalum. |
| Wanameremeta..... |
| Gavana wa kwanza nchini Tanzania Mzee Edwin Mtei pia walikuwepo katika ibada hiyo. |
| Baba na mama Nassari. |
| Cheti cha ndoa. |
| Ibada ya ndoa ilifikia tamati na sasa ukawa wakati wa kuelekea katika hafla maalum kwa ndugu jamaa na marafiki kusherehekea. PICHA ZOTE KWA HISANI YA KAJUNA SON. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment