Na, Shaffih Dauda
Mpira umekwisha Yanga wanaondoka na ushindi
90' Yanga wanaongoza bado
82' Canavaro anaipatia Yanga bao la kwanza - Yanga 1 - 0 Al Ahly
70' Zikiwa zimebaki dk 20 mchezo kumalizika milango bado migumu - Yanga 0 - 0 Al Ahly
60' Yanga 0 - 0 Al Ahly
49' Yanga wameshapata kona tisa na zote tasa
Kipindi cha pili cha mchezo kimeanza, Young Africans 0 - 0 Al AhlyMpira ni mapumziko, Young Africans 0 - 0 Al Ahly - Yanga wametengeneza nafasi tatu za wazi wameshindwa kuzitumia.43' Yanga 0 Al Ahly 0.
40' Milango ya timu zote bado migumu
37’ Yanga 0 Al Ahly 0.
Dakika ya 30, Young Africans 0 - 0 Al Ahly
26' Hamis Kiiza anakosa bao la wazi hapa
24' Yanga 0 - 0 Al Ahly
18' Emmanuel Okwi anapiga shuti kali kipa anaucheza na kupata majeraha
14' Yanga 0 - 0 Al Ahly
11’ Yanga wanapata kona ya pili inaokolewa na wachezaji wa Ahly. (0-0)
10’ Penaltyyyyyy hapana Refa anakataa kwa madai mshambuliaji wa Al Ahly alijidondosha. (0-0)
09’ Msuva anacheza fyongo pale. (0-0)
07’ Yanga wametawala kati, Msuva na Niyonzima wanaonana vizuri. (0-0)
5' Yanga wanapata kona na inaokolewa na Al Ahly
3' Al Ahly wanalishambulia lango la Yanga lakini Dida anaokoa hatari
1' Young Africans 0 - 0 Al Ahly
Mpira ndio umeanza hapa Uwanja wa Taifa kati ya wenyeji Young Africans Vs Al AhlyKIKOSI CHA NACIONAL AL AHLY
Ekramy, Moawad, Nagiub, Wael Gomaa, Fathy, Rabea, Ashaur, Mousa Edan, Gedo, na Amri Gamal
3' Al Ahly wanalishambulia lango la Yanga lakini Dida anaokoa hatari
1' Young Africans 0 - 0 Al Ahly
Mpira ndio umeanza hapa Uwanja wa Taifa kati ya wenyeji Young Africans Vs Al AhlyKIKOSI CHA NACIONAL AL AHLY
Ekramy, Moawad, Nagiub, Wael Gomaa, Fathy, Rabea, Ashaur, Mousa Edan, Gedo, na Amri Gamal
KIKOSI CHA YANGA
1. Deogratias Munish "Dida" - 30
2. Mbuyu Twite - 6
3. Oscar Joshua - 4
4. Nadir Haroub "Cannavaro" - 23 (C)
5. Kelvin Yondani "Cotton" - 6
6. Frank Domayo "Chumvi" - 18
7. Saimon Msuva - 27
8. Haruna Niyonzima - 8
9. Emmanuel Okwi - 25
10. Mrisho Ngasa - 17
11. Hamisi Kizza - 20
Subs:
1. Juma Kaseja - 1
2. Juma Abdul - 12
3. David Luhende - 3
4. Athuman idd "Chuji" - 24
5. Hassan Dilunga - 26
6. Said Bahanuzi - 11
7. Didier Kavumbagu - 7
2. Mbuyu Twite - 6
3. Oscar Joshua - 4
4. Nadir Haroub "Cannavaro" - 23 (C)
5. Kelvin Yondani "Cotton" - 6
6. Frank Domayo "Chumvi" - 18
7. Saimon Msuva - 27
8. Haruna Niyonzima - 8
9. Emmanuel Okwi - 25
10. Mrisho Ngasa - 17
11. Hamisi Kizza - 20
Subs:
1. Juma Kaseja - 1
2. Juma Abdul - 12
3. David Luhende - 3
4. Athuman idd "Chuji" - 24
5. Hassan Dilunga - 26
6. Said Bahanuzi - 11
7. Didier Kavumbagu - 7
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.