Mkurugenzi wa Kampuni ya Global Publishers Ltd na Mwalimu wa Ujasiriamali nchini, Eric James Shigongo akiwasalimia wakazi wa Mwanza leo. |
Eric Shigongo akimkaribisha mkufunzi wa masuala ya ujasiriamali, James Mwang'amba aongee na wakazi wa Mwanza leo. |
Mkufunzi wa masuala ya ujasiriamali, James Mwang'amba aongee na wakazi wa Mwanza leo. |
The MC him self. |
Dj Chriss toka Semira Mobile Sound ndiye aliyesimama mtamboni. |
Huduma toka kwa Benki ya NMB zilikuwemo viwanjani hapa ambapo kila kitu kilifanyika hapa kielektroniki. |
Wadhamini wakuu Tigo walikuwa na mabanda mahususi ya kuwahudumia wateja wao wapya na wa zamani huku wakinadi huduma zao mpya. |
Mwendo ni kujiexpress tu na Tigo. |
Masanja Mkandamizaji akiwavunja mbavu wakazi wa Mwanza kwa historia ya kusisimua ya maisha yake yaliyo na changamoto lukuki zenye kutoa mafunzo tosha kwa wanaokata tamaa. |
Ni moja kati ya tumbuizo zilizofana ndani ya Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. |
Wananchi wakifurahia somo kutoka kwa Masanja. |
Mkurugenzi wa Kampuni ya Global Publishers Ltd na Mwalimu wa Ujasiriamali nchini, Eric James Shigongo akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali nchini. |
Wananchi wakijipatia vitabu vya Mtunzi Eric Shigongo. |
Umati wa watu uliohudhuria Tamasha kubwa la Ujasiriamali linalofikia kikomo leo ndani ya Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. |
Wasanii chipukizi wa kizazi kipya wakitoa burudani katika tamasha hilo. |
Watu wakizidi kumiminika ndani ya Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kwa ajili ya tamasha hilo. |
Wakazi wa jiji la Mwanza wamezidi kujipatia elimu ya ujasiriamali, vitabu na CD za Eric Shigongo na James Mwang'amba katika Tamasha kubwa la Ujasiriamali linalofikia kikomo leo jijini Mwanza. Tamasha hilo lilianza juzi (Ijumaa) ambapo walimu wa ujasiriamali Shigongo na Mwang'amba wametoa mbinu kwa watu wa Mwanza jinsi ya kuwa wajasiariamali mahiri.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.