ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, November 18, 2013

ALLIANCE YAFANYA MAAFALI YAKE YA KWANZA KIDATO CHA NNE IKIWA NA MAFANIKIO KIELIMU

Afisa ugavi wa mkoa wa Mwanza Patrick Kigire ambaye ndiye aliyekuwa mgeni rasmi akimwakilisha mkuu wa mkoa wa Mwanza, akihutubia katika maafali ya kwanza ya Alliance Academy yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya shule ya  Alliance Secondary iliyopo Mahina wilayani Nyamagana mkoani Mwanza. 
Safu ya meza kuu ikiongozwa na Mkurugenzi wa Alliance School James Bwire (kulia waliovaa majoho) na mgeni rasmi ambaye ni Afisa ugavi wa mkoa wa Mwanza Patrick Kigire.
Safu ya meza kuu.
Jumla ya wanafunzi  ....wamehitimu kidato cha nne kwa mwaka huu 2013. 
Majengo ya madarasa ya shule la Secondary (Alliance) inayomilikiwa na kampuni ya Nyamwaga Alliance inayomiliki jumla ya shule nne Shule ya Awali na msingi Alliance, Kituo cha kule na kuendeleza vipaji (Alliance Sports Academy), Alliance Girl Secondary School na Mwanza Alliance Secondary School (Boys).  
Safu nyingine ya wahitimu.
Kutokana na ubora wa elimu inayotolewa na waalimu chini ya uongozi thabiti wa shule katika matokeo ya darasa la saba mwaka 2013, Alliance imeshika nafasi ya pili kwa kufaulisha kimkoa nafasi ya kwanza katika wilaya ya Nyamagana na ya 15 Kitaifa. 
Safu ya meza kuu ikiwakaribisha wahitimu kwenye kusanyiko la Maafali viwanja vya Alliance Mwanza.
Hongera wa kwanza wa kidato cha nne wahitimu.
Burudani iliyotia fora toka kwa wanafunzi.
Kwata la burudani....
Wahitimu wa kidato cha nne Alliance wasichana wakielekeza macho kwenye tukio.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.