ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, October 22, 2013

WASHINDI WA BODABODA NA MKWANJA COCA COLA KANDA YA ZIWA HAWA HAPA.

Meneja wa masoko kampuni ya Soda za jamii ya Coca cola kiwanda chaNyamza Bottling Co. LTD Marco Masaka (kushoto) akimkabidhi ufunguo mshindi wa pikipiki (Bodaboda) Sabuni Selya kutoka Malampaka wilaya ya Maswa mkoani Shinyanga katika hafla ya makabidhiano iliyofanyika kiwandani jijini Mwanza.
Meneja wa masoko kampuni ya Soda za jamii ya Coca cola kiwanda chaNyamza Bottling Co. LTD  Marco Masaka (kushoto) akimkabidhi ufunguo mshindi wa pikipiki (Bodaboda) Julius Onesmo kutoka jijini Mwanza.
Meneja wa masoko kampuni ya Soda za jamii ya Coca cola kiwanda chaNyamza Bottling Co. LTD Marco Masaka (kulia) akimkabidhi ufunguo mshindi wa pikipiki (Bodaboda) Emanuel Musa kutoka Ng'ungumalwa Kwimba. 
Meneja wa masoko kampuni ya Soda za jamii ya Coca cola kiwanda chaNyamza Bottling Co. LTD Marco Masaka (kushoto) akimvisha kofia ngumu mara baada ya kumkabidhi ufunguo mshindi wa pikipiki (Bodaboda) Samwel Mashauri kutoka Maganzo mkoani Shinyanga.
Washindi wa bodaboda ndiyo hawa na zawadi zao.
Meneja wa masoko kampuni ya Soda za jamii ya Coca cola kiwanda chaNyamza Bottling Co. LTD Marco Masaka (kulia) akimkabidhi kitita cha shilingi milioni moja mshindi Charles Ezekiel kutoka mkoani Tabora mara baada ya kushinda kupitia shindano linaloendelea la Amsha maisha yako na Coca cola.
Sasa ikawa zamu ya Sospeter Lawrent kutoka Ngudu mkoani Mwanza kuondoka na kitita cha shilingi laki tano.
Naye Shinubi Luhende (kushoto) kutoka wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga akaondoka na shilingi laki moja taslimu.
Lucy Wilson kutoka Ng'ungumalwa akaondoka na kiasi cha shilingi laki moja. 
Kitita kingine cha shilingi laki tano kilimwendea mshindi Flora Stephano (katikati) kutoka jijini Mwanza, na hapa Meneja wa masoko kampuni ya Soda za jamii ya Coca cola kiwanda chaNyamza Bottling Co. LTD Marco Masaka (kulia) .
Picha ya washindi wote kwa pamoja ndani ya kiwanda cha Nyanza Bottling Limited Mwanza.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.