Msanii na Producer wa muziki wa
Bongo Fleva na Reggae Mack Malik
Simba (Mack 2B) amefariki dunia.
Kaka wa marehemu Msafiri
Masharubu amesema kuwa alikuwa
akisumbuliwa na tatizo la kuvimba Kwa miguu na amefia nyumbani kwao
Yombo.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU
MAHALI PEMA PEPONI, AMEN!
0 comments:
Post a Comment