ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, September 23, 2013

ADAMU NGANGE AMTWANGA KWA K,O ISSA MATUMLA

Bondia Adamu Ngange kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Issa Matumla wakati wa mpambano wao uliofanyika siku ya jumapili katika ukumbi wa Kilimahewa uliopo Chanika Kigogo Fresh Ngange alishinda kwa K,O ya raundi ya pili 

Bondia Adamu Ngange kwenye uringo akikaa pembeni baada ya kumwangusha chini Issa Matumla pembeni
Refarii Saidi Chaku kulia akimpa huduma ya kwanza bondia Issa Matumla baada ya kugalagazwa kwa ngumi na bondia Adamu Ngange
Bondia Antony Mathias kulia akimpiga ngumi mfululizo bondia Ismail Ninja wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa kilimahewa chanika Kigogo Mathias alishinda kwa K,O Fresh Dar es salaam.
Bondia Antony Mathias AKIWA AMEBEBWA JUU JUU BAADA YA KUPATA USHINDI KWA k,O
MDAU WA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI hALIMA kAUBANIKA AKIFATILIA MPAMBANO HUO
Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.