Zana za kale katika uwindaji na ulinzi. |
Vitanda na mlango wa nyumba za kale za watu kabila la wakerewe. |
Ni vitanda vya aina mbili cha kwanza cha kamba za kusuka na cha pili kitanda cha ngozi. |
Mtumbwi wa kutengenezea pombe za asili ya watu wakikerewe, pombe ya ndizi inayojulikana kama Empaye kwa kikerewe na kwa kihaya ni Lubisi. |
Malimba ni chombo cha muziki. |
Lubigo ni mtego wa kutegea samaki majini kwa watu wa kale kabila la wakerewe. |
Ndivyo mtungi wa kuhifadhia maji ulivyokuwa ukihifadhiwa ingawa kuna baadhi ya watu hadi sasa wanatumia teknolojia hii. |
Ngozi safi ya mnyama iliyoanikwa. |
Vyombo vya nyumbani. |
Viti vya wazee na wakuu wa kaya kwaajili yakupumzikia. |
Embezo ni kifaa kilichotumia kuchongea miko ya kupikia na mipini ya majembe. |
Maonesho ya jikola kuni. |
Majembe ya kale yalichongwa hivi. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.