| Afisa mauzo wa Airtel, Bw Salehe Safi akimkabidhi Bibi Saada Omary
moja ya zawadi zilizotolewa na kampuni za simu za mkononi ya Airtel
kwenye kituo cha watoto yatima kinachofahamika kwa jina la Mwana
Orphanage Center kilichopo Vingunguti jijini Dar es salaam.
AIRTEL ilitoa sukari, mchele, mafuta, sabuni, maziwa na unga wa ngano
kwa ajili ya kumalizia mwezi mtukufu wa Ramadhani na kusheherekea
sikukuu ya IDDI. |
0 comments:
Post a Comment