Mmoja wa wanachama wa TACOGA ambaye ni mkulima wa zao la pamba akichangia hoja. |
Mbunge wa jimbo la Bariadi Magharibi Mhe. John Cheyo akichangia hoja katika kikao hicho kilichofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Chuo cha benki kuu (BOT) Capripoint jijini Mwanza. |
Mwenyekiti wa TCA na Mnunuzi wa Pamba Christopher Mwita Gachuma (MNEC - Tarime) akiwa na wajumbe wengine. |
Sehemu ya wajumbe kwenye mkutano huo. |
Wajumbe mkutanoni hapa. |
Mbunge wa jimbo la Maswa Magharibi Mhe. John Magale Shibuda akichukua nondo zilizokuwa zikitolewa na wadau wa pamba ndani ya mkutano huo. |
Baadhi ya wakuu wa wilaya nao walikuwa ni sehemu ya wajumbe wa mkutano huu. |
Kutoka kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Simiyu Paschal Mabiti, Joel Mkaya Bendera (Morogoro), na wengine wakifuatilia hotuba ya ufunguzi ya waziri mkuu. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.