Marehemu Jackline Wanna Since 1970 - 23/07/2013. |
Mwili wa aliyekuwa mwandishi wa habari mwanamama Jacline Wanna umeagwa leo nyumbani kwake eneo la Nyamanoro, kisha ukazikwa katika makaburi ya Kitangiri jijini Mwanza |
Mwandishi wa Habari Leo Grace Chilongola akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Jacline Wanna. |
Wakijumuika kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Jacline Wanna ni safu ya waandishi wa habari mbele ni Novatus Makongo |
Heshima kwa mwili wa marehemu zikiendelea. |
Sitta Tuma akitoa heshima kwa mwili wa marehemu Jacline Wanna. |
Radio Maria nayo iliwakilishwa. |
Mwili wa marehemu ukitolewa nyumbani kwake kuelekea mazikoni. |
Majira ya saa 9 na dakika kadhaa msafara kuelekea makaburi ya Kitangiri. |
Ni katika eneo la makaburi ya Kitangiri. |
Mwili wa marehemu ukishushwa kwenye nyumba yake ya milele. |
Mashuhuda. |
Uliumbwa kwa udongo na mavumbini utarudi. |
Shukurani za MPC ziliwasilishwa na Makamu Mwenyekiti Mr. Mpagaze |
Salamu za UTPC ziliwasilishwa na Victor Maleko. |
Katibu wa Mwenezi wa CCM Wilaya ya Nyamagana Mr. Mustapha aliwakilisha salamu za Chama cha mapinduzi. |
Waandishi wa habari wakiweka maua kwenye kaburi la hayati Jacline Wanna. |
Wakiweka mashada ya maua kwenye nyumba ya milele ya mpendwa wao. |
Hawa ni watoto wa marehemu aliowaacha. |
Mara baada ya hatua za mazishi kukamilika mume wa marehemu katikati (mwenye kauda suti nyeusi) alijumuika na nduguze katika sala. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.