| Udadisi wa zoezi la upimaji afya kwawananchi. |
| Meya akiwa ameambatana na viongozi wengine wakitoka kwenye banda la kutolea Tiba ya Homa eneo la kata ya Igoma. |
| Diwani wa viti maalum kata ya Igoma kupitia Chadema Upendo Robert akizungumza na wananchi kusisitiza umuhimu wa kupima afya mara kwa mara. |
| Hotuba ya Mstahiki Meya kwa wananchi ilikuwa darasa tosha kwa waliohudhuria. |
| Show ya muziki wa kizazi kipya ya asili ya kabila la Sukuma wew... ni Nowma..!! |
| Kikundi cha waigizaji kikitoa elimu kwa wananchi juu ya mradi huo wa Tibu Homa. |
| Diwani wa kata ya Igoma Mhe. Chagulani alisisitiza jukumu la wazazi kusimamia suala la afya kwa jamii zao. |
| Burudani zaidi hapa ilikuwa zamu ya Makhirikhiri wa Ziwa Victoria. |
| Ngoma ya moja ya makabila ya kusini toka mkoa wa Ruvuma. |
| Eneo la tukio, Igoma mahala kulikokuwa kukifanyika maadhimisho hayo yenye mrengo wa kuimarisha afya za wananchi. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment