ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, May 1, 2013

BUJORA MAKUMBUSHO YA WATU KABILA LA WASUKUMA SASA YATIMIZA MIAKA 100 - PART ONE

Utambulisho wa eneo himaya ya Makumbusho ya watu kabila la Wasukuma eneo la Kisesa  mkoani Mwanza.


Kikundi cha sanaa cha Bujora group kikiwajibika huku akinamama walio mstari wa mbele wakisaga nafaka kwa kutumia zana za kale zilizotumiwa na watu wa kabila hilo.


Nafaka zikiendelea kusagwa kwa zana za kale za asili.


Hatua kwa hatua usagaji nafaka kwa kutumia zana na kale huku nyimbo asili zikitawala.


Zana na nyenzo za enzi za kale zilizotumika katika usagaji nafaka ili kupatikana unga kwa watu wa kabila la Wasukuma.


Bagika na Bagalu ni ngoma za pande mbili ndani ya kabila la Wasukuma ambapo Bagika walikuwa wakicheza ngoma inayoshirikisha nyoka na Bagalu walikuwa wakicheza ngoma inayoshirikisha zana kama majembe ya mkono, zana za kale za kivita na kadhalika.


Jengo lenye kumbukumbu za watu kabila la Wasukuma.


Mwonekano engoni mwa jengo hilo.


Ni kama kigoda vile umbo la jengo hili ambako ndiko kulitumika kuhifadhi  ngoma za asili zilizotumiwa na wanasanaa wa kabila la Wasukuma katika koo mbalimbali ngoma hizi zimehifadhiwa yapata miaka 100 sasa.


Kanisa lililojengwa kwaajili ya kumbukumbu ya makanisa ya kale yaliyojengwa enzi za ukoloni ambapo watemi wa Kabila la wasukuma walikuwa wakiabudu.


Licha ya kanisa Katoliki nchini Tanzania kuwa mstari wa mbele kuhudumia makumbusho haya, pia Chama cha Mt. Cecilia kimeyaenzi na kuyatunza makumbusho haya tangu 22 Nov 1954. 


Watemi walikuwa wakipumzika humu.

Tupe maoni yako

1 comments:

  1. hey there and thank you for your information – I have certainly
    picked up something new from right here. I did however expertise a few technical points using this site, since I experienced to reload
    the website a lot of times previous to I could get
    it to load correctly. I had been wondering if
    your web host is OK? Not that I am complaining, but sluggish loading instances times will very frequently affect your placement in google and could damage your high quality
    score if advertising and marketing with Adwords.
    Anyway I'm adding this RSS to my e-mail and can look out for a lot more of your respective exciting content. Make sure you update this again very soon.

    Also visit my site - teeth whitening products

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.